MAUZO POS Blog

Business tips, product updates, and success stories

Back to Home
Search
About

Stay updated with the latest business tips, product features, and success stories from MAUZO POS.

DSE Fahamu "Capital Gains": Jinsi PEsa Yako Inayoongezeka Thamani Katika Uwekezaji
Fahamu "Capital Gains": Jinsi PEsa Yako Inayoongezeka Thamani Katika Uwekezaji

Charles Chambila Oct 28, 2025 121 views

Wakati wengi wanafikiria kuhusu uwekezaji, mara nyingi huwaza kuhusu kupata "gawio" (dividends) kila mwaka. Lakini kuna njia nyingine kubwa na muhimu ...

Read More
DSE Sinto Fahamu Baada ya Hisa Kupotea Katika App ya HISA KIGANJANI ya DSE
Sinto Fahamu Baada ya Hisa Kupotea Katika App ya HISA KIGANJANI ya DSE

Charles Chambila Nov 10, 2025 158 views

Ni muhimu kuelewa kuwa app ya DSE Kiganjani ni mfumo wa kuonyesha taarifa, si mahali ambapo hisa zako zinahifadhiwa. Hisa zako halisi zinahifadhiwa kw...

Read More
Uwekezaji Miemko ya VIS-ETF: Bei Unayonunulia Sokoni ni ya Kweli au Unapigwa na Kuumizwa?
Miemko ya VIS-ETF: Bei Unayonunulia Sokoni ni ya Kweli au Unapigwa na Kuumizwa?

Charles Chambila Nov 07, 2025 326 views

Huenda bei ya VIS-ETF ya sokoni sasa hivi unapigwa. Bei ya VIS-ETF kwa sasa iko juu sana kwa zaidi ya asilimia 40% kulinganisha na bei halisi....

Read More
Biashara Hii Ndiyo Sababu Bei ya Hisa za DSE Kushuka Hivi Karibuni
Hii Ndiyo Sababu Bei ya Hisa za DSE Kushuka Hivi Karibuni

Charles Chambila Oct 28, 2025 134 views

Licha ya ukweli kwamba thamani ya jumla ya soko (market capitalization) imeendelea kukua kwa kasi ikilinganishwa na mwaka uliopita, kushuka kwa bei za...

Read More
Uwekezaji Jinsi ya Kuanzisha Biashara Bila Kutumia Pesa Yako: Siri ya Utajiri Kupitia Hati Fungani, Hisa na Mutual Funds
Jinsi ya Kuanzisha Biashara Bila Kutumia Pesa Yako: Siri ya Utajiri Kupitia Hati Fungani, Hisa na Mutual Funds

Charles Chambila Oct 26, 2025 107 views

ukweli ni kwamba, wataalamu wa fedha duniani hutumia mali walizonazo kama dhamana (collateral) ili kupata mikopo au kuwekeza zaidi — bila kutoa pesa...

Read More
Uwekezaji Uza Kiwanja Uwekeze Katika Hati Fungani. Faidi ni Kubwa Kuliko Kiwanja
Uza Kiwanja Uwekeze Katika Hati Fungani. Faidi ni Kubwa Kuliko Kiwanja

Charles Chambila Oct 26, 2025 85 views

kwa mtazamo wa kifedha wa kisasa, kumiliki kiwanja pekee si kila mara uwekezaji wenye faida kubwa. Kuna njia nyingine bora zaidi za kuongeza thamani y...

Read More