Stay updated with the latest business tips, product features, and success stories from MAUZO POS.
Charles Chambila Feb 04, 2026 23 views
Ili upige pesa sasa hivi, lazima uelewe hii tofauti: Mwaka 2023 ulikuwa wa Generative AI (ChatGPT). Ulikuwa unaiomba ikuandikie shairi au email. Mwaka...
Read More
Charles Chambila Dec 16, 2025 105 views
Kwenye ulimwengu wa uwekezaji, kuna kitu kinaitwa Risk Capital—hii ni pesa ambayo hata ikipotea yote leo, maisha yako ya msingi hayatasimama. Lakini...
Read More
Charles Chambila Dec 09, 2025 68 views
Pesa za pensheni sio utajiri wa ghafla, ni kwa ajili ya kukutunza mpaka pale unapoingia kaburini. Kutoka kwenye cheo cha kuitwa meneja au boss au mkur...
Read More
Charles Chambila Dec 06, 2025 187 views
DSE ni soko ambalo LIQUIDITY (Uwezo wa kuuza haraka) ndiyo kila kitu. Tumeona hata katika Vertex ETF hivi karibuni namna ambavyo wanunuzi na wauzaji h...
Read More
Charles Chambila Nov 17, 2025 443 views
Hisa app ni Fintech Solution inayokuwezesha kuwekeza katika masoko ya Hisa ya Marekani na Kenya hata ukiwa na kiasi cha Fedha cha Tsh. 3,000....
Read More
Charles Chambila Nov 17, 2025 268 views
Katika ulimwengu wa uwekezaji Muda (Time) wako wa kuwa na umiliki sokoni ni bora kuliko kupatia muda (timing) wa kununua hisa za kampuni fulani. Anza ...
Read More
Charles Chambila Nov 15, 2025 177 views
Compounding sio siri ya matajiri; ni nidhamu ambayo matajiri wanaitumia. Anza leo, hata kama unaweka kidogo. Jipe muda na jikaze usile faida. Baada ya...
Read More
Charles Chambila Nov 14, 2025 268 views
Ukiangalia takwimu za soko kwa miaka mitano iliyopita, utaona kuna kitu fulani kinajirudia kila wakati kati ya mwezi Novemba na Februari. Tunaweza kui...
Read More
Charles Chambila Nov 12, 2025 375 views
Kwa mara ya kwanza historia imeandikwa Tanzania baada ya uzinduzi wa Exchange Traded Fund (ETF) ya kwanza kuzinduliwa, mfuko unaoitwa VIS-ETF. Wakati ...
Read More
Charles Chambila Nov 11, 2025 450 views
Katika ulimwengu wa biashara na uwekezaji, financial fundamental ratios ni zana muhimu sana za kufahamu hali ya kampuni kifedha. Kwa maneno rahisi, hi...
Read More